Habari ya jioni marafiki!
**napenda tujifunze kidogo juu ya namna ya kuzuia mwili usiwe na uzito mwingi hata kukupatia athari kiafya**
ZIPO NJIA KUU TATU(3); JAPO LEO TUNAANGALIA MOJA YENYE VIPENGELE VITANO(5).
A:▶FANYA VITU VITANO
B:▶ACHA VITU VITANO
C:▶ONGEZA VITU BORA VITANO
**TUONE "A" YA KUFANYA VITU VITANO KWA SIKU YA LEO*
1.▶hakikisha unapata kifungua kinywa chenye kukupatia afya njema;mfn;juice za matunda ya asili na mchanganyiko(tropical juice) ama chakula chepesi.π Όσ ππ΅
2.▶kula mboga za majaniπ₯¬ na matunda kwa wingi sana kila siku katika mlo wako wa kila siku.πππ₯π
3.▶pendelea kula vyakula vya nafaka isiyo kobolewa na iwe salama.π½
4.▶kuka vyakula vyenye mafuta yasiyo na cholesterol,, kula vyakula vyenye mafuta ya asili ndani yake maana vyakula vingi vina mafuta ndani yake kama vile nafaka,nk.
Kama na bidhaa angalia contents ya bidhaa isiyo na *fat*nyingi na calories nyingi.
>>pika chakula kisichokuwa na mafuta mengi,zaidi pendelea kula chakula cha **mchemsho**mfano mboga
5.▶Fanya mazoezi ama kuwa na utaratibu wa kutembea umbali kwa dakika 30 Kila siku ili mwili wako utoe jasho(taka mwili) kupitia vinyweleo.
>>tembea ndani ya nyumba yako ama nje ya nyumba yako au kutembea kidogo kwa muda huo wa dk30.
>>mazoezi yasiwe ya kuuchosha mwili Bali mepesi na ya afya zaidi.
**mbarikiwe nyote**
@maliseli1234