Monday, July 29, 2019


Kampuni ya kimataifa ya Eternal inajishughulisha na uzalishaji bidhaa za kiafya zenye ubora wa hali ya juu na kusisambaza ndani na nje ya nchi ya China na duniani kwa ujumla.
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kumekuwa na mabadiliko makubwa katika tasnia ya tiba. Hali hii imeipelekea ongezeko kubwa la matumizi ya tiba asilia na hii hutokana na ukweli kwamba suala la afya ni suala mtambuka na linagusa watu wa rika na jinsia zote.
πŸ“πŸ‡ Tiba hii kupitia kampuni ya Eternal hakika zimekuwa rafiki  na kutoa majibu ya maswali mengi ambayo yamekuwa tatizo kwa muda mrefu hasa kuhusiana na maradhi sugu na yenye kuathiri mwili wa mwanadamu kwa kiasi kikubwa.

*Tibalishe na virutubisho  kwa ajili ya*;
• mfumo wa damu/ mishipa ya damu( moyo na ubongo)
• mifupa na maradhi ya mifupa
•mfumo wa uyeyushaji na mmeng'enyo wa chakula
•afya ya uzazi kwa akina mama
• afya ya uzazi kwa akina baba
• afya ya ngozi na maradhi ya ngozi
• mfumo wa fahamu
• jicho na maradhi ya macho
•mfumo wa upumuaji.

*Mengineyo kama*;
• maradhi sugu ya Kansa
•unene/uzito kupita kiasi
•uvutaji wa sigara
• matumizi ya vinywaji vikali
• matumizi ya madawa
• harufu mbaya ya kinywa
• kinga ya mwili
• kinga ya mwili kushuka sana
•ukuaji mbovu kwa watoto wadogo.
•saratani
•vidonda vya tumbo
•kisukari sugu
•maradhi ya INI
•maradhi ya figo na kibofu
•kiharusi( stroke)
•baridi yabisi(matatizo ya mifupa)


*nikijiunga na eternal nitafanya kazi gani?*
KAZI ZA KUFANYA ILI KUFANIKIWA ZAIDI NDANI YA ETERNAL.
1: kuwaelekeza ndugu, jamaa,rafiki na wana jamii wenye mahitaji ya kupata Huduma ya matibabu dhahiri katika maradhi yaliyoanishwa hapo juu na mengineyo zaidi  kwenye vituo vyetu elekezi kote nchini na nje ya nje ya nchi.
2: kuwasaidia wengine  waweze kujiunga ndani ya eternal nao wafanikiwe kama wewe.πŸ€πŸ’ž
3: kuwaelekeza wengine waweze kupata Huduma ya vipimo vya afya kwa gharama ya shilingi elfu kumi tu kwa mwili mzima πŸ”¬
4:kuwasaidia wanachama wengine walio chini yako kuweza kufikia ngazi za juu zaidi ili wafanikiwe kama wewe kwa kuwashauri njia bora na rafiki katika kujiongezea kipatoπŸ’΅πŸ’΅

5:kutoa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa kutumia matibabu kwa njia ya tiba lishe bora ili kuboresha afya zao na kufanya mwili usipatwe na maradhi ili kuwa na nguvu teleπŸ€πŸ’ž

Kwa mawasiliano;
+255763707878/
+255787422622/
+255763693371
Tovuti yetu: www.eternalgz.com
Tupo Banana_ukonga ( Dar es salaam)
Mtaa wa staki Shari.

Makao makuu ya taasisi Afrika mashariki ni Morocco_kinondoni(DSM)
Nb: kwa maeneo ya mikoani wasiliana nasi utapata maelekezo ili kuweza kupata Huduma elekezi pamoja na kuitumia fursa hii adhimu

KARIBU SANA ETERNAL

*ETERNAL HUKUPA SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZAKO BAYANA*

No comments:

Post a Comment