Monday, July 29, 2019


Habari ya jioni marafiki!
**napenda tujifunze kidogo juu ya namna ya kuzuia mwili usiwe na uzito mwingi hata kukupatia athari kiafya**
ZIPO NJIA KUU TATU(3); JAPO LEO TUNAANGALIA MOJA YENYE VIPENGELE VITANO(5).
A:▶FANYA VITU VITANO
B:▶ACHA VITU VITANO
C:▶ONGEZA VITU BORA VITANO
**TUONE "A" YA KUFANYA VITU VITANO KWA SIKU YA LEO*
1.▶hakikisha unapata kifungua kinywa chenye kukupatia afya njema;mfn;juice za matunda ya asili na mchanganyiko(tropical juice) ama chakula chepesi.πŸ Όσ“…‘πŸŽπŸ΅
2.▶kula mboga za majaniπŸ₯¬ na matunda kwa wingi sana kila siku katika mlo wako wa kila siku.🍌🍎πŸ₯’πŸ‰
3.▶pendelea kula vyakula vya nafaka isiyo kobolewa na iwe salama.🌽
4.▶kuka vyakula vyenye mafuta yasiyo na cholesterol,, kula vyakula vyenye mafuta ya asili ndani yake maana vyakula vingi vina mafuta ndani yake kama vile nafaka,nk.
Kama na bidhaa angalia contents ya bidhaa isiyo na *fat*nyingi na calories nyingi.
>>pika chakula kisichokuwa na mafuta mengi,zaidi pendelea kula chakula cha **mchemsho**mfano mboga
5.▶Fanya mazoezi ama kuwa na utaratibu wa kutembea umbali kwa dakika 30 Kila siku ili mwili wako utoe jasho(taka mwili) kupitia vinyweleo.
>>tembea ndani ya nyumba yako ama nje ya nyumba yako au kutembea kidogo kwa muda huo wa dk30.
>>mazoezi yasiwe ya kuuchosha mwili Bali mepesi na ya afya zaidi.

**mbarikiwe nyote**
@maliseli1234

Kampuni ya kimataifa ya Eternal inajishughulisha na uzalishaji bidhaa za kiafya zenye ubora wa hali ya juu na kusisambaza ndani na nje ya nchi ya China na duniani kwa ujumla.
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kumekuwa na mabadiliko makubwa katika tasnia ya tiba. Hali hii imeipelekea ongezeko kubwa la matumizi ya tiba asilia na hii hutokana na ukweli kwamba suala la afya ni suala mtambuka na linagusa watu wa rika na jinsia zote.
πŸ“πŸ‡ Tiba hii kupitia kampuni ya Eternal hakika zimekuwa rafiki  na kutoa majibu ya maswali mengi ambayo yamekuwa tatizo kwa muda mrefu hasa kuhusiana na maradhi sugu na yenye kuathiri mwili wa mwanadamu kwa kiasi kikubwa.

*Tibalishe na virutubisho  kwa ajili ya*;
• mfumo wa damu/ mishipa ya damu( moyo na ubongo)
• mifupa na maradhi ya mifupa
•mfumo wa uyeyushaji na mmeng'enyo wa chakula
•afya ya uzazi kwa akina mama
• afya ya uzazi kwa akina baba
• afya ya ngozi na maradhi ya ngozi
• mfumo wa fahamu
• jicho na maradhi ya macho
•mfumo wa upumuaji.

*Mengineyo kama*;
• maradhi sugu ya Kansa
•unene/uzito kupita kiasi
•uvutaji wa sigara
• matumizi ya vinywaji vikali
• matumizi ya madawa
• harufu mbaya ya kinywa
• kinga ya mwili
• kinga ya mwili kushuka sana
•ukuaji mbovu kwa watoto wadogo.
•saratani
•vidonda vya tumbo
•kisukari sugu
•maradhi ya INI
•maradhi ya figo na kibofu
•kiharusi( stroke)
•baridi yabisi(matatizo ya mifupa)


*nikijiunga na eternal nitafanya kazi gani?*
KAZI ZA KUFANYA ILI KUFANIKIWA ZAIDI NDANI YA ETERNAL.
1: kuwaelekeza ndugu, jamaa,rafiki na wana jamii wenye mahitaji ya kupata Huduma ya matibabu dhahiri katika maradhi yaliyoanishwa hapo juu na mengineyo zaidi  kwenye vituo vyetu elekezi kote nchini na nje ya nje ya nchi.
2: kuwasaidia wengine  waweze kujiunga ndani ya eternal nao wafanikiwe kama wewe.πŸ€πŸ’ž
3: kuwaelekeza wengine waweze kupata Huduma ya vipimo vya afya kwa gharama ya shilingi elfu kumi tu kwa mwili mzima πŸ”¬
4:kuwasaidia wanachama wengine walio chini yako kuweza kufikia ngazi za juu zaidi ili wafanikiwe kama wewe kwa kuwashauri njia bora na rafiki katika kujiongezea kipatoπŸ’΅πŸ’΅

5:kutoa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa kutumia matibabu kwa njia ya tiba lishe bora ili kuboresha afya zao na kufanya mwili usipatwe na maradhi ili kuwa na nguvu teleπŸ€πŸ’ž

Kwa mawasiliano;
+255763707878/
+255787422622/
+255763693371
Tovuti yetu: www.eternalgz.com
Tupo Banana_ukonga ( Dar es salaam)
Mtaa wa staki Shari.

Makao makuu ya taasisi Afrika mashariki ni Morocco_kinondoni(DSM)
Nb: kwa maeneo ya mikoani wasiliana nasi utapata maelekezo ili kuweza kupata Huduma elekezi pamoja na kuitumia fursa hii adhimu

KARIBU SANA ETERNAL

*ETERNAL HUKUPA SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZAKO BAYANA*

Sunday, July 28, 2019

FURSA YA BIASHARA KUTOKA ETERNAL INTERNATIONAL

www.eternalgz.com
ETERNAL BIOTECHNOLOGY ni taasisi kutoka nchini CHINA iliyopo nchini Tanzania na inajihusisha na utoaji wa Huduma bora ya afya kwa mfumo wa tibalishe(chakula_dawa).
Inapenda kuwatangia fursa ya biashara kwa watu wote ambao ni wafanyakazi na ambao siyo wafanyakazi pia.
Fursa hii kila mwanachama atakuwa na majukumu machache ndani ya taasisi.
1.kuwaelekeza wahitaji wa Huduma ya afya kwenye vituo vyote elekezi nchini na nje ya nchi ili wapatw Huduma ya vipimo na matibabu.
2.kuwashirikisha wengine kama ndugu jamaa na marafiki fursa hii adhimu ili nao waweze kuwafikia wahitaji wengine zaidi.
**majukumu Haya utayafanya endapo tayari utakuwa umejiunga ndani ya taasisi kwa kiingilio cha shilingi 60,000/=tu ambayo itajumuisha gharama zote za kupata
>ATM CARD
>KITABU CHA MAELEKEZO YA BIDHAA NA MFUMO WA TAASISI
>T_SHIRT
>KOFIA
NB:KAMPUNI HII HAIHUSIKI NA MFUMO WA USAMBAZAJI WA BIDHAA BALI HUDUMA ZOTE HUTOLEWA KATIKA VITUO VYAKE VYOTE VYA CLINIC NCHINI NA NJE YA NCHI,ILA KAMA MTU ATAHITAJI KUTUMIWA BIDHAA ATAPATA MAELEKEZO KUTOKA KUTOKA KWA MADAKTARI HUSIKA.

Tupo banana_ukonga(dar es salaam)
Mawasiliano;+255763707878/+255787422622
Tovuti yetu ni www.eternalgz.com
***karibu sana***